Mtunzi: Romario Mhofu
> Mfahamu Zaidi Romario Mhofu
> Tazama Nyimbo nyingine za Romario Mhofu
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: ROMARIO MANFRED
Umepakuliwa mara 380 | Umetazamwa mara 1,286
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Ewe Mama yetu Maria, ufikishe maombi kwa mwanao Yesu, tuweze kufika Mbinguni.
MASHAIRI:
1. Sala zetu mama zifikishe kwake Mwanao.
2. Aponye magonjwa yetu yote tuwe na afya.
3. Huruma yake atujalie tufike kwake.
4. Wewe ndiwe tumaini letu kwenye magumu.
5.Imani mapendo tujalie matumaini.