Ingia / Jisajili

Neno moja kwa Bwana

Mtunzi: Romario Mhofu
> Mfahamu Zaidi Romario Mhofu
> Tazama Nyimbo nyingine za Romario Mhofu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: ROMARIO MANFRED

Umepakuliwa mara 316 | Umetazamwa mara 1,252

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio :

Neno moja nimelitaka (naomba)  kwa Bwana, nalo ndilo nitakalo litafuta(III&IV=ambalo natafuta?)   Nikae nyumbani mwa Bwana Mungu (mwake Bwana) siku zote za maisha yangu yote.

MASHAIRI :

1.Niutazame uzuri wa Bwana,  na kutafakari hekaluni mwake Bwana

2. Atanisitiri bandani mwake, katika sitara ya hema yake siku zote.

  • 3.Nami nitatoa dhabihu safi, naam nitaimba nitamhimidi Bwana Mungu 
  • 4. Nitakushukuru kwa Moyo radhi,  kwani wewe ni msaada wangu Siku zote. 
  • 5. Usinifiche uso wako Bwana,  unifundishe njia yako wewe takatifu. 
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa