Ingia / Jisajili

Fadhili Za Bwana Zina Wamchao

Mtunzi: Aloyce Sagise
> Mfahamu Zaidi Aloyce Sagise
> Tazama Nyimbo nyingine za Aloyce Sagise

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Aloyce Sagise

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 51

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Moyo Mtakatifu wa Yesu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Fadhili za Bwana zina wamchao, tangu milele hata milele. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Naam vyote vilivyomo ndani yangu. Vilihimidi jina lake MTAKATIFU. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, wala usizisahau fadhili zake zote. 2. Akusamehe Maovu yako yote, Akutia taji ya fadhili na rehema. 3. Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki, Na hukumu kwa wote walioonewa, Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake. 4. Bwana amejaa huruma na neema, Haoni hasira ni mwingi wa huruma. Hakututendea sawa sawa na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa