Ingia / Jisajili

Mazingira

Mtunzi: Aloyce Sagise
> Mfahamu Zaidi Aloyce Sagise
> Tazama Nyimbo nyingine za Aloyce Sagise

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Aloyce Sagise

Umepakuliwa mara 26 | Umetazamwa mara 39

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mazingira ni vitu vyote vinavyo tuzunguka, miti, mito, maziwa na vyote vilivyopo. Ni zawadi tumepewa na Mungu, hivyo tuyatunze mazingira yatutunze. Tusikate mini hovyo, tutasabisha ukame katika nchi na kuwa jangwa. Tusitupe taka hovyo zinachafua mazingira, tutunze vyanzo vya maji tusichome misitu. Tutaharibu uoto wa asili, haya sote tuungane kutunza mazingira. Nakutoa elimu kwa wengine jinsi ya kutunza mazingira. To Tusome waraka wa Baba Mtakatifu unao tukumbusha kutunza mazingira, changamoto zote za kimazingira zinatokana na shughuli zetu wanadamu, matumizi mabaya ya teknolojia yanasabisha uharibifu wa mazingira. Tuyatunze mazingira na vyote vilivyomo ili tuishi kwa amani, tukimtukuza Mungu siku zote na milele Amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa