Ingia / Jisajili

Familia Takatifu

Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Fransis Norbert

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 2

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Familia takatifu ni familia inayoishi kitakatifu na inafundisha upendo na inafundisha kusali, familia takatifu hutenda yaliyo mema na ya kumpendeza Mungu Baba

1. Familia takatifu ni tunu kwa jumuiya ndogondogo na kwa kanisa letu.

2. Familia takatifu ya Yesu na Mariam na Yosefu Ndiyo mfano bora.

3. Familia takatifu ni daraja kwa watoto wa kikristo kukua kiimani.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa