Ingia / Jisajili

Familia Takatifu

Mtunzi: Eradius Kanyaruju
> Tazama Nyimbo nyingine za Eradius Kanyaruju

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Familia (2014)

Umepakiwa na: Eradius Kanyaruju

Umepakuliwa mara 3,994 | Umetazamwa mara 9,856

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Familia takatifu nini ni familia ya Baba na Mama inayojali na kuwajibika yeye kumpendeza Mungu. Ushirikiana usaidiana uvumiliana usaidiana udumu katika sala na maombi. niwajibu wetu sote kujenga familia bora Baba mama na watoto Jumuiya na kanisa zima sote kwa pamoja tushirikiane kutangaza utukufu wa Yesu Kristu katika familia zetu kuwa familia ni mwanzo wa Imani thabiti pia familia ni mwanzo wa maadili meme familia bora uzaa watu bora familia bora ni kanisa ndogo. Baba Mama mzitunze familia zenu ili ziweze kuzaa matunda bora yanayo mpendeza Mungu. Tazama kila pande familia zafarakana kwa kukosa imani upendo na uvumilivu matokeo yake ni watoto wa mitaani tumuombe Mungu baba Mwana na Roho mtakatifu azibariki familia zetu ziwe takatifu ziige mfano wa familia takatifu ya Yesu Maria na Yosefu.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

GERALD STANSLAUS Sep 24, 2024
Napenda kuimba nyimbo za kikatoliki. Naomba nakara za nyimbo

Toa Maoni yako hapa