Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,365 | Umetazamwa mara 4,745
Download Nota Download Midi1. Ukitaka uzima fika altareni utapata uzima nawe utafurahi Mkate sio ni mwili mwili kweli wa Yesu fika utafurahi
2. Ukitaka wokovu FIKA ALTARENI, Kweli utaokoka NAWE UTAFURAHI, Mkate siyo...
3. Ukitaka faraja......Yesu akufarji......Mkate siyo.....
4. Ukitaka amani .........Utapata amani …..