Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 10,049 | Umetazamwa mara 17,973
Download Nota Download MidiF.A.NYUNDO
07/02/1979
Mateso yako Ee Yesu yametokana na dhambi, yametokana na dhambi zetu sisi, sisi wanadamu x 2
1. Umebeba msalaba kwa ajili yetu wanadamu, uzito wa dhambi zetu, kwa ajili yetu wandamu
2. Ee Yesu umeteswa, kwa ajili yetu wanadamu, na ukafa msalabani kwa ajili yetu wanadamu
3. Moyo wako umechomwa kwa ajili yetu wanadamu, kweli umesulubiwa kwa ajili yetu wanadamu