Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Emmanuel Mwita
Umepakuliwa mara 601 | Umetazamwa mara 2,712
Download Nota Download MidiFRANSISKO ALIFURAHI
Fransisko alifurahi, kushiriki mateso ya Kristo x2 Sasa anafurahia kwa shangwe kubwa, kufunuliwa utukufu wa Kristu x2
1. Heri walio maskini wa roho, ufalme wa mbingu ni wao.
2. Heri waliojawa na huzuni, maana watafarijika.
3. Heri waliojawa na upole, urithi wa nchi ni wao.
4. Heri waliojawa na rehema, hao watapata rehema.
5. Heri walio nao moyo safi, maana watamwona Mungu.