Ingia / Jisajili

Huyu Ni Yesu Kutoka Mbinguni

Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 2,036 | Umetazamwa mara 3,203

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Huyu ni Yesu kutoka mbinguni kikombe hiki ni amana ya upendo, ( Huyu ni Yesu kweli Huyu ni Yesu)x2 Mashairi: 1. Mkate huu ndio mwili wangu, kuleni wote mpate uzima, Huyu ni Yesu, Huyu ni Yesu. 2. Utambulisho wa imani yetu, fanyeni hivi kwa kumbuka, Huyu ni Yesu. 3. Anayekula huu mwili wangu, na kunywa hiyo damu yangu, Huyu ni Yesu.

Maoni - Toa Maoni

Fr. Gédéon NTIRWIHISHA Aug 10, 2022
Nyimbo nzuri sana

Fr. Gédéon NTIRWIHISHA Aug 10, 2022
Nyimbu nzuri sana

Toa Maoni yako hapa