Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,469 | Umetazamwa mara 5,170
Download Nota Download MidiFuraha yangu ni kuungana nawe Yesu milele x2
Ninaapokula chakula hiki ninapokunywa kinywaji hiki azizi niungane nawe rohoni mwangu x2
1. Nilishe uninyweshe Bwana unishibishe nisipate njaa na kiu ya rohoni
2. Ninapata faraja ninapokupokea niponye Bwana na marashi ya moyoni
3. Niungane na wewe Yesu wa Ekaristi nipatie uzima wako milele