Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 971 | Umetazamwa mara 3,135
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Ndipo ghafla, ndipo ghafla, ndipo ghafla x2
Ndipo ghafla ikaja sauti ya ngurumo;
Ngurumo,ngurumo,ngurumo, mithili ya upepo wenye nguvu x2
Ukaijaza nyumba yote, ukaijaza nyumba yote walipokuwa wamekaa, walipokuwa wamekaa x2
Wote wakajazwa na Roho,wote wakajazwa na Roho,(hao) wote wakajazwa na Roho,(hao) wote wakajazwa na Roho Mtakatifu wakisema matendo makuu ya Mungu Aleluya.
Atukuzwe Baba na Mwana, atukuzwe Baba na Mwana, atukuzwe Baba na Mwana naye Roho Mtakatifu x2
MASHAIRI