Ingia / Jisajili

Furahi Ee Yerusalemu

Mtunzi: Thomas J.Yotham
> Mfahamu Zaidi Thomas J.Yotham
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas J.Yotham

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Thomas Yotham

Umepakuliwa mara 48 | Umetazamwa mara 101

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Furahi ee Yerusalemu na mshangilie (ninyi) ninyi nyote (nyote) mpendao. Furahini kwa furaha ninyi nyote mliokuwa na huzuni Mpate kushangilia na kushibishwa wa utamu wa faraja zake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa