Ingia / Jisajili

Futa Machozi

Mtunzi: Dalmatius (P.g.f)
> Mfahamu Zaidi Dalmatius (P.g.f)
> Tazama Nyimbo nyingine za Dalmatius (P.g.f)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: DALMATIUS DOMINICK

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wimbo huu niliutunga siku niliyofiwa na mamangu mzazi

Bibi yangu alikuwa ni mwenye kilio kikubwa na asiye bembelezeka kila mtu alimbembeleza akawa hasikilizi kauli ya mtu yeyote ndipo nilipomsogelea na kumueleza maneno haya yote niliyoandika kwenye mashahiri na ndipo nilipofanikiwa kumnyamazisha walau kwa muda kadhaa na kisha ndipo nilipopata kuyaandikia wimbo haya maneno na kuyaweka kwenye kumbukumbu itakayodumu siku  nyingi......Mungu aiweke roho ya marehemu mama yangu mahali pema peponi AMINA


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa