Mtunzi: George F. Handel
> Tazama Nyimbo nyingine za George F. Handel
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI
Umepakuliwa mara 2,166 | Umetazamwa mara 6,365
Download Nota Download MidiMaana tazama giza litaifunika dunia na giza kuu litazifunika kabila za watu na giza kuu litazifunika kabila za watu
Bali Bwana atakuzukia wewe na utukufu wake utaonekana juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako
Na mataifa wataijilia nuru yako na wafalme kuujia mwanga wakuzuka kwako