Ingia / Jisajili

Hakuna Kinachoshindikana Kwa Mungu

Mtunzi: Steve. Y . Limila
> Tazama Nyimbo nyingine za Steve. Y . Limila

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Porit Peter

Umepakuliwa mara 11,402 | Umetazamwa mara 13,645

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Patrick Martin Afande Oct 12, 2022
Pumzika kwa Amani ndugu. Mungu akurehemu sana.

George Patrick Sep 07, 2019
Mungu ailaze roho yako pahali pema peponi. Umetuwacha kwa uchungu mno.. Hongera kwa utunzi wako wa, MOYO. Kama naweza pata nota ya huu wimbo nitafurahi sana.

steve waithanji Sep 06, 2019
Hongera ndugu mtunzi,wa huu wimbo mtamu mwalimu Steve . Wimb o huuulinipendeza sana haswa nilipouona na kuusikia mara ya kwanza katika Capuchin Tv. (Kenya). MuNGU AENDELEZE HICHI KIPAWA iLI UISAMBAZE injili yake kote kote.

Jackson Sep 05, 2019
Jamani msema kweli mpenzi wamungu naomba nitumiwe kopi za huyu mtumishi wa mungu no. Watsapp 0756336389

Thadeo Mluge Aug 20, 2019
Nakupongeza kwa utunzi mzuri ndugu. Naomba unitumie nota za wimbo "MOYO WANGU," kama inawezekana kwa whatsapp namba 0688362740 au Email yangu. Asante.

Evarist Peter Aug 07, 2019
Nakupongeza kaka kwa utunzi uliotukuka lakini pia naomba copy za nyimbo hizi MOYO WANGU na MSAMAHA NI UTU kwa whatsup namba 0756992208 asante sana endelea kutangaza injili maana thawabu yako ni kubwa mbinguni.

Albert Aug 02, 2019
Hongera kwa wimbo wako wa moyo wangu nami naomba copy kwa watsap 0757076704

Julius Anari Jul 29, 2019
Naomba pia za wimbo huo wako wa MOYO WANGU kupitia namba ya whatsapp 0796555139 Natanguliza shukrani zangu mkuu

Br. Martin Pundi Ofm Cap May 25, 2019
Nakupongeza sana kwa utunzi mzuri, ila naomba nota za wimbo wa Moyo wangu.

Dr. Paul Matondo May 25, 2019
Nakupongeza Sana Kwa utunzi mzuri, nimekufahamu Kwa kusikiliza wimbo wako unaoitwa MOYO WANGU, naomba kama inawezekana unitumie nota za huo wimbo whatsapp namba 0788341992

Daniel Patrick Apr 11, 2019
Hongera kaka kwa utunzi mzuri Naomba unisaidie wimbo wako wa MOYO WANGU kupitia namba ya whatsApp 0756085555

Toa Maoni yako hapa