Ingia / Jisajili

Neema ya Mungu

Mtunzi: Steve. Y . Limila
> Tazama Nyimbo nyingine za Steve. Y . Limila

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Edga Madeje

Umepakuliwa mara 7,500 | Umetazamwa mara 8,817

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Claver Jul 22, 2024
Neema ya Mungu

Florian Barnabas Apr 10, 2020
Tumsifu Yesu Kristo. Asante sana kwa pongezi, lakini ninaomba kabla ya ku upload wimbo huku kiwe kinatolewa kibali na aidha mtunzi wa wimbo au uongozi wa Kwaya, kwa mfano, huu wimbo wa NEEMA YA MUNGU upo kwenye program ya recording lakini tayari umeshawekwa huku.

Paulo Manyika Mar 27, 2020
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwenu wanakwaya wa Bikira Maria Mama wa Mungu kwa nyimbo nzuri na zenye mafunzo ya kikatoriki. Mungu awaongoze mfike mbali zaidi. Amina. Natamani sana kuungana nanyi kwani nami natamani siku moja kuwa hazina ya Mungu Baba kwa kuwa mkufinzi wa kwaya. Amina. Wako katika utume ?

Toa Maoni yako hapa