Mtunzi: Leo Lyimo
> Mfahamu Zaidi Leo Lyimo
> Tazama Nyimbo nyingine za Leo Lyimo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Leo Lyimo
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiHarambe,harambe harambe, waumini tulijenge kanisa letu x 2
Kwa michango yetu na Sadaka (zetu),waumini tulijenge kanisa letu .
Kwa majitoleo pia na zaka (zetu) ,waumini tulijenge kanisa letu .
MASHAIRI
1.Waumini tutoe sadaka (ni mali yake Bwana turudishe kwake.)x2
2.Ni wajibu kutoa Sadaka (ni mali yake Bwana tutoe Sadaka) x2