Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Watakatifu
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,393 | Umetazamwa mara 4,229
Download Nota Download MidiHAWA NDIO WALE
Hawa ndio wale ambao walipoishi, walipanda kanisa kwa damu yao. x2
1. walikunywa kikombe cha Bwana, wakawa rafiki wake Mungu
2. wanaishi milele na Mungu, katika makao yake Mungu.