Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,070 | Umetazamwa mara 4,839
Download Nota Download Midi1. Ewe Yesu mwokozi Mungu wangu sistahili uje moyoni mwangu
(Lakini wewe sema neno moja na roho yangu Bwana itapona) x2
2. Yesu wangu nilishe uninyweshe mwili na damu yako takatifu
(Niponye na jeraha za moyoni Mungu wangu ninapokupokea) x2
3. Ulipigwa mijeledi mwili damu yako nyingi ikamwagika
(Ulitundikwa juu msalabani ili nipate kuokoka)x2
4. Nishibishe kwa mwili wako Bwana niponye kwa damu yako azizi
(Karibu moyoni mwangu Ee Bwana ingawa mimi Bwana sistahili)x2
5. Nipe uima wako wa milele ninapokupokea Mungu wangu
(Unipe amani rohoni mwangu kwa huu mwili wako na damu yako)x2