Ingia / Jisajili

Hawa Ndio Wale

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,544 | Umetazamwa mara 6,896

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hawa ndio wale ambao walipoishi walipanda kanisa kwa damu yao x 2
Walikunywa kikombe cha Bwana, walikunywa kikombe cha Bwana walikunywa, wakawa rafiki zake Mungu x 2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa