Ingia / Jisajili

Waumini Tuwe Na Juhudi

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 9,357 | Umetazamwa mara 15,263

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Waumini tuwe na juhudi kulijenga kanisa letu x 2
Tutoe kwa ukaribu, sehemu ya mali yetu, aliyotujalia mwenyezi Mungu x 2

  1. Waumini tuwe tayari daima kujitolea kwa hali na mali na kwa ukarimu sote tulijenge kanisa letu.
     
  2. Waumini amkeni tuwajibike kulijenga hekalu la Mungu ndiyo nyumba ya sala na ibada takatifu.
     
  3. Kanisa litajengwa na sisi wenyewe, kwa hivyo waumini tufanye juhudi tutoe michango yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa