Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani
Umepakiwa na: Geofrey Ndunguru
Umepakuliwa mara 459 | Umetazamwa mara 2,179
Download Nota Download Midishairi.
Sasa ndio wakati kumshukuru Mungu, simama E mkristo ukatoe sadaka, toa pesa na mazao yako umpe Bwana, naye Bwana ata kuabariki siku zote
kiitikio.
Haya shime wa kristo wote toka pande zote, tukatoe sadaka zetu kama sukurani.tupeleke zawadi, pesa na nyoyo zetu, na mazao ya mashamba tumpe Bwana