Ingia / Jisajili

Kama Watoto Wachanga

Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pasaka | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 648 | Umetazamwa mara 2,980

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kama Watoto wachanga walio zaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu Aleluya x 2.

Mashaiiri.

1.Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu, Mshangilieni Mungu wa Yakobo.

2.M mwendee yeye, jiwe lililo hai,lililoteuliwa na lenye heshima.

3.Pazeni Zaburi, pigeni matari na kinanda chenye sauti nzuri na Kinubi.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa