Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo:
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 490 | Umetazamwa mara 2,730
Download Nota Download MidiHaya Shime wana Mburahati (Wana Parokia) Tuijenge Nyumba Ya bwana, Tushirikiane na wenzetu kuijenga nyumba ya Bwana. Ili bwana Atukuzwe, Ili Bwana asifiwe, tena Bwana Ahimidiwe, Jina lake likatangazwe, lijulikane na watu wa Mataifa yote.