Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Himery Msigwa
Umepakuliwa mara 616 | Umetazamwa mara 2,561
Download Nota Download Midikiitikio
Tuweke hazina yetu ambapo wezi hawaharibu
Wezi wasipo vunja wala kuiba hazina hiyo x 2
mashairi
1 Pesa zetu za mifukoni na twendeni tumpe Bwana yeye mtunzaji wa hazina yetu.
2 Na mazao ya mashambani na twendeni tumpe Bwana yeye ni mpaji wa vitu vyote.
3 Bwana ni mchungaji wetu anatulinda kila siku sasa twende tukampe tulichonacho.