Ingia / Jisajili

HERI TAIFA (WATU ALIOWACHAGUA)

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Anthem | Watakatifu | Zaburi

Umepakiwa na: Severine Fabian

Umepakuliwa mara 239 | Umetazamwa mara 631

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, Watu aliowachagua kuwa urithi wake x2. 1. Heri Watu aliowachagua kuwa urithi wake, toka Mbinguni huwachungulia huwatazama wote. 1. Tazama jicho la Bwana li kwa wamchao wazingojeao, Fadhili zake yeye huwaponya nafsi zao na mauti. 3. Nafsi zetu zamngoja Bwana yeye ndiye msaada wetu , Ee Bwana Fadhili zako zote zikae nasi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa