Ingia / Jisajili

NAKUSHUKURU KWA WEMA WAKO

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Sevelian Fabian

Umepakuliwa mara 652 | Umetazamwa mara 2,137

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ninakushukuru Mungu kwa wema wako ulionijalia Mimi mwanao x2. Umenilinda wiki nzima Asante, naja kwako Bwana nikushukuru x2. 1.Naja kukushukuru kwa mema yako mengi, unipokee Bwana Mimi mwanao. 2. Akina baba wote mje tumshukuru kwa mema yake mengi tukamshukuru. 2.Akina mama wote mje tumshukuru kwa mema yake mengi tukamshukuru. 3.Nao watoto wote mje tumshukuru kwa mema yake mengi tukamshukuru..

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa