Ingia / Jisajili

Heri Tumealikwa

Mtunzi: Yohana J. Magangali
> Mfahamu Zaidi Yohana J. Magangali
> Tazama Nyimbo nyingine za Yohana J. Magangali

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yohana Magangali

Umepakuliwa mara 327 | Umetazamwa mara 1,211

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Heri yetu tumealikwa, kuijongea karamu ya Bwana 1. Mwili wa Yesu, na damu yake, ni kitulizo, cha roho zetu 2. Najua Bwana, mimi mkosefu, lakini Yesu, wanialika 3. Ee Yesu mwema, nakuja leo, unishibishe, niburudike

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa