Ingia / Jisajili

AGANO LETU LIMETIMIA

Mtunzi: Yohana J. Magangali
> Mfahamu Zaidi Yohana J. Magangali
> Tazama Nyimbo nyingine za Yohana J. Magangali

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Yohana Magangali

Umepakuliwa mara 74 | Umetazamwa mara 192

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mpenzi wangu wa moyo wangu sogea nikubusu, Wewe ni wangu Mwenyezi Mungu ametuunganisha. Hakika leo limetimia lile letu agano, Mwenyezi Mungu atuongoze tusimame imara, tutunze vema kiapo chetu siku zote, tuwe mfano ulio bora kwa wengine.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa