Ingia / Jisajili

Heshima kwa Msalaba

Mtunzi: Albert Sweetbert Masokola
> Mfahamu Zaidi Albert Sweetbert Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Albert Sweetbert Masokola

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: Dr. Albert Sweetbert Masokola

Umepakuliwa mara 347 | Umetazamwa mara 971

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunauheshimu mti wa Msalaba ulipo tundikwa ukombozi tunaouabudu. Kafara ya damu ya Yesu Kristu, mkombozi wetu.×2 1.usingizi wa mauti wa Yesu msalabani chanzo cha uenezi wa kanisa 2.kwa hayo maji yalomwagika pale msalabani takasa familia zidumishe 3.kwa iyo damu iliyotoka ubavuni mwa kristu, utuimarishie utashi wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa