Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 16,286 | Umetazamwa mara 27,039
Download Nota Download Midi1. Hii ni Ekaristi aliyotuachia Bwana Yesu Kristu Mkombozi wa dunia.
Imbeni, Imbeni kwa furaha, Sifuni, Sifuni Ekaristi, Alimo Yesu Kristu, Kristu, Alimo ni mzima x 2
2. Yesu katuonea wema wake huruma alitupenda sana, sana, katupa na uzima