Ingia / Jisajili

Jumuiya zote tuungane

Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 722 | Umetazamwa mara 1,890

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Jumuiya zote na waamini wote tuungane sote pamoja na taifa kuupiga vita umaskini ujinga pia marumbano, amani ya Mungu itutawale sote tulisaidie kanisa na taifa kuupiga vita umaskini ujinga pia marumbano.

Maoni - Toa Maoni

CHRISPINE CHOROHA Oct 13, 2021
Wimbo mtamu Sana huu,,umeimbwa na kwaya Kristu Mfalme Katubuka Kigoma.

Toa Maoni yako hapa