Mtunzi: Yudathadei Chitopela
> Mfahamu Zaidi Yudathadei Chitopela
> Tazama Nyimbo nyingine za Yudathadei Chitopela
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,299 | Umetazamwa mara 5,678
Download Nota Download MidiHIKI, NDICHO KIZAZI, NDICHO KIZAZI, CHA WAMTAFUTAO MUNGU,
(WAKUTAFUTAO, WAKUTAFUTAO, USO WAKO MUNGU WA YAKOBO) X2
1.(A) NCHI NA VYOTE, VIIJAZAVYO, NI MALI MALI YA BWANA, DUNIANA WOTE, WAKAAO NDANI YAKE,
(B) MAANA AMEIWEKA MISINGI, YAKE JUU YA BAHARI, NA JUU JUU YA MITO YA MAJI, MITO YA MAJI, ALIITHIBITISHA.
2.(A) NI NANI ATAKAYEPANDA, KATIKA MLIMA WA BWANA, NI NANI ATAKAYESIMAMA, KATIKA PATAKATIFU, PATAKATIFUPAKE,
(B) MTU ALIYE NA MIKONO SAFI, NA MOYO MWEUPE, ASIYEIINUA NAFSI YAKE,KWA UBATILI, WALA HAKUHAPA KWA HILA.
3.ATAPOKEA, BARAKA KWA BWANA, BARAKA KWA BWANA MUNGU, NA HAKI KWA MUNGU, WA WOKOVU WAKE.