Ingia / Jisajili

Hiki Ni Chakula

Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 31,539 | Umetazamwa mara 47,721

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hiki ni chakula kilicho shuka toka mbinguni karibuni wakristu jongeeni kwa karamu ya bwana x 2

  1. Bwana ametuandalia chakula bora ndio mwili wake unaotolewa kwa ajili yetu.
     
  2. Bwana ametuandalia kinywaji safi ndiyo damu yake asiri inayomwagika kwaajili yetu.
     
  3. a. Hivyo kila tuulapo mkate huu na kunywa kikombe hiki tunatangaza kifo chake bwana.

    b. Pia kila tuulapo mkate huu na kunywa kikombe hiki twautukuza ufufuko wake.

Maoni - Toa Maoni

mike Jan 19, 2019
safi sana R. I. P

Moses Karanja Jun 22, 2018
Kazi nzuri sana... Mungu azidi kuilaza roho yake Saasita pahali pema

michael mutuku Oct 15, 2017
roho ya mwalimu saasita ipumzike kwa amani

Dominic Nzuki Oct 09, 2017
Mungu ailaze Roho yako pema Peponi Mwalimu Saasita. Pole kwa familia

jackson kasidi Feb 20, 2017
Bass iko vizur

ARMY TITUS MWAMWANO Aug 18, 2016
huu wimbo hunibariki kila niusikilizapo mungu akubariki

Toa Maoni yako hapa