Mtunzi: Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Mfahamu Zaidi Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Tazama Nyimbo nyingine za Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 758 | Umetazamwa mara 2,280
Download Nota Download MidiHodi hodi enyi wachungaji msiwe na woga, amkeni upesi twende tukamwone mtoto, tumwimbie nyimbo za shangwe twimbe Aleluya, kwa kuwa mwana wake Mungu ameshuka kwetu, (kazaliwa Mwokozi, kazalia ili aje kutumboax2.)
1.Hongera kwako Maria kwa kumzaa mwana, tumeupata wokovu kutoka imaniyo.
2.Yumo horini mwang'ombe mtoto kasinzia, ni mfalme wa amani kalalia manyasi.
3.Wafalme wa dunia wanajipanga panga, wanafanya shauri ju ya masiha wake.