Ingia / Jisajili

NI FURAHA YESU KAZALIWA

Mtunzi: James Mnazi
> Mfahamu Zaidi James Mnazi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Mnazi

Makundi Nyimbo: Noeli | Epifania

Umepakiwa na: James Mnazi

Umepakuliwa mara 428 | Umetazamwa mara 1,088

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ni furaha kwetu tena kubwa mtoto Yesu kazaliwa Bethlehem. Vigelegele nazo shangwe kazaliwa mkombozi wetu. (kweli) amelala pangoni mkombozi wetu ndiye kristo Mfalme wetu. (tena) tupige ngoma zetu vinubi na zeze tucheze kwa firaha. 1. Hongera Maria kwa kumzaa mwana ndiye mkombozi wa dimia. 2.Ulimwengu wote unashangilia mkombozi wetu kazaliwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa