Ingia / Jisajili

Hubirini Kwa Sauti

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 19

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka A

Download Nota
Maneno ya wimbo
HUBIRINI KWA SAUTI Hubrini, hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya, yatamkeni mpaka mwisho wa dunia, (semeni Bwana amewakomboa, amewakomboa watu wake Aleluya) x2 1. Mpigieni Mungu kelele za shangwe, chi yote imbeni utukufu wa jina lake. 2. Tukuzeni sifa zake mwambieni Mungu matendo yako yanatisha kama nini

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa