Ingia / Jisajili

Pendo Lako Yesu

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 20 | Umetazamwa mara 72

Download Nota
Maneno ya wimbo
PENDO LAKO YESU Pendo lako Bwana Yesu ni la ajabu, ulivyotupenda sisi upeo Ukajitoa chakula cha roho zetu, na pia ukajitoa, kinywaji ili tule pia tunywe Ee Yesu. 1. Ulisema mwili wako, ni chakula, kutupatia uzima, milele 2. Ulisema Damu yako, ni kinywaji, kutuponya kiu yetu milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa