Ingia / Jisajili

Hubirini kwa sauti ya kuimba

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 856 | Umetazamwa mara 2,258

Download Nota
Maneno ya wimbo
Hubirini kwa sauti sauti yakuimba tangazeni haya yatamkeni mpaka mwisho was duniax2 semeni bwana amelikomboa amelikomboa,amelikomboa taifa lakex2 SHAIRI. 1)hubirini kwa sauti ya kuimba hubirini kwa sauti ya kuimba semeni bwana amelikomboa, amelikomboa taifa lake. 2) njooni wote tuimbe nyimbo nzuri tumwimbie bwana kwa kuwa Ni mwema tukuhubiribneno lake bwana tuhubiri kwa sauti yakuimba

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa