Ingia / Jisajili

Hubirini Kwa Sauti Ya Kuimba

Mtunzi: Yohana J. Magangali
> Mfahamu Zaidi Yohana J. Magangali
> Tazama Nyimbo nyingine za Yohana J. Magangali

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Yohana Magangali

Umepakuliwa mara 351 | Umetazamwa mara 968

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya yatamkeni mpaka mwisho wa dunia, semeni Bwana amelikomboa taifa lake, aleluya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa