Mtunzi: T. C. Masologo
> Mfahamu Zaidi T. C. Masologo
> Tazama Nyimbo nyingine za T. C. Masologo
Makundi Nyimbo: Mwaka wa Huruma ya Mungu
Umepakiwa na: Antony Chacha
Umepakuliwa mara 696 | Umetazamwa mara 3,276
Download Nota Download MidiHuruma ya Mungu wetu huruma ya Mungu wetu ni Yesu kristo ndiye uso wa Huruma yake Mungu×2 Huruma ya Mungu Huruma ya Mungu Huruma ya Mungu wetu ni ya Milele×2 1. Umetufundisha Kuwa watu wa huruma kama baba wa mbinguni,umetuambia kwamba mtu anayekuona wewe amemwona baba. 2. Tuoneshe uao wako nasi tutaokoka jicho lako la upendo lilimwokoa Zakayo na Mathayo walikuwa watumwa wa Fedha. 3. Tuwezeshe kila mmoja wetu kusikiliza neno ulilomwambia mwanamke msamaria kama ungetambua zawadi ya Mungu. 4.Wewe ni sura ya baba asiyeonekana Sura ya Mungu anayejifunua kwa uweza zaidi kwa msamaha na kwa njia ya huruma.