Ingia / Jisajili

Huu Ndio Mwili Wangu

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 978 | Umetazamwa mara 4,513

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Huo ndio mwili wangu, mwili wangu hii ndiyo damu yangu iliyo mwagika kwa ajili ya dhambi zenu) x 2
wateule wote wote karibuni nyote kwa chakula chake Bwana wetu. Karibuni kwa chakula chake Bwana Yesu Mungu, Karibuni kwa chakula chake Bwana Yesu.

  1. Njooni enyi wateule wake wenye njaa mkale chakula cha uzima wa roho zenu.
     
  2. Njooni enyi wateule wake wenye kiu, mkanywe kinywaji cha uzima wa roho zenu.
     
  3. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, anao uzima wa milele wa roho yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa