Maneno ya wimbo
Mungu Wangu, Mun gu Wangu, Mbona umeniacha?Mbona Umeniacha?x2.
Mashairi:
1. Wote wanionao hunicheka sana, Hunifyonya, wakitikisa vichwa vyao/ Husema,
umtegmee Bwana: na amponye;Na mwokoe sasa,maana apendezwa naye.
2. Kwa maana mbwa wamenizunguka;kusanyiko lawaovu, wamenisonga:/Yamenizua
mikono na miguu, Naweza kuihesabu mifupa yangu yote.
3. Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura Nawe, Bwana usiwe mbali,
Ee Mungu wangu,fanya haraka kunisaidia.
4. Nitalihubiri Jina lako kwa ndugu zangu,katikakati ya kusanyiko nitakusifu:/Ninyi
mnaomcha Bwana,msifuni enyi nyote mlio wazao wa Yakobo mtukuzeni.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu