Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 707 | Umetazamwa mara 2,565
Download Nota Download MidiKwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu x 2
Mashairi:
1. Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na moyo wa kiasi basi usiionee haya ushuhuda wa Bwana wetu.
2. Wala usinionee haya mimi mfungwa wake bali uvumilie uvumilie pamoja nami kwa ajili ya injili kwa kadiri ya nguvu ya Mungu.
3. Neema hiyo tulipewa katika kristu, katika kristu Yesu tangu milele na sasa inadhihirishwa kwa kufunuliwa kwake mwokozi wetu Yesu.