Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 794 | Umetazamwa mara 2,482
Download Nota Download MidiMungu Amepaa kwa kelele za Shangwe Bwana kwa sauti ya Baragumu, Bwana kwa sauti ya Baragumu kwa sauti ya Baragumu kwa sauti ya
Baragumu, Bwana kwa sauti ya Baragumu x 2.
Mashairi.
1. Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kelele za shangwe, Bwana alikye juu ni mwenye kuogofya ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote
2. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe Bwana kwa sauti ya Baragumu muimbieni Mungu naam naam imbeni, mwimbieni mfalme wetu
naam imbeni.