Ingia / Jisajili

Ichukueni Nira Yangu

Mtunzi: François Tutu Makanga
> Mfahamu Zaidi François Tutu Makanga
> Tazama Nyimbo nyingine za François Tutu Makanga

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: TUTU MAKANGA François

Umepakuliwa mara 34 | Umetazamwa mara 47

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Ichukueni nira yangu: asema Bwana; Na jifunzeni kwangu mimi, mimi ni mpole. (2x) Kiitikio: Aleluya (amen), Aleluya (amen), Aleluya (amen) Aleluya. 2. Mimi ni mpole, mnyenyekevu: asema Bwana (2x); Nira laini, mzigo wangu u mwepesi (2x) 3. Umwangazie, uso wako, Mtumishi wako (2x) Na nitashika, amri zako, Aleluya (2x)
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa