Maneno ya wimbo
KIITIKIO; imani bila matendo mema Ni bure(imani)x2 imani bila matendo mema Ni burex2(matendo) matendo mema ambayo yanampendeza mungu(pia) matendo yapendezayo duniani na mbinguni(pia) ndiyo kibali na(ufunguo) wa malango ya mbingunix2. SHAIRI; imeandikwa ya kwamba mwili pasipo roho umekufa vivyo hivyo na imani pasipo matendo mema Ni bure ndugu yangu tuwe na imani tena yenye matendo mema. 2) tunakuomba Ee bwana tuongezee imani tena imani yenye matendo mema ili tuweze kukutumikia mungu wetu sisi Wana wako ili tuje kwko mbinguni. KIBWGIZO; mungu alituumba katuleta duniani lengo tumtumikie ili tufike mbinguni ila yatupasa kwanza tuwe nayo imani imani imani yenye matendo mema kwa mungux3
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu