Ingia / Jisajili

Mwimbieni bwana wimbo mpya

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 515 | Umetazamwa mara 1,816

Download Nota
Maneno ya wimbo
Mwimbieni bwana wimbo mpya mwimbieni bwana wimbo mpya kwa maana ametenda Mambo ya ajabux2 ametenda Mambo ya ajabux2 ametenda Mambo ya ajabu ametenda mambo ya ajabu ametenda mambo ya ajabu ajabux2:. SHAIRI. 1) bwana ameufunua wokovu machoni pa mataifa yote ameidhihirisha haki kadhihirisha haki yake machoni pa mataifa. 2) mkono mkono wake wa kuume umemtendea wokovu umemtendea wokovu, umemtendea wokovu machoni pa mataifa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa