Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Matawi
Umepakiwa na: Lawrence Nyansago
Umepakuliwa mara 14,012 | Umetazamwa mara 21,543
Download Nota Download MidiINUENI VICHWA - F. A. Nundo
Inueni vichwa vyenu enyi malango, inukeni enyi malango ya milele ||mfalme a utukufu apate kuingia||x2 ni nani huyo Mfalme wa utukufu ||Bwana mwenye nguvu hodari Bwana hodari wa vita||x2 ni nani huyo Mfalme wa utukufu ||Bwana wa majeshi yeye ndiye Mfalme wa utukufu||x2